Thursday, August 18, 2011

Bishop Irene Hassan Nzwalla anatarajia kuanza Semina ya Neno la Mungu tarehe 24 Aug hadi 28 Aug nchini Kenya katika mji wa Eldoret katika Kanisa la Bishop Ben Bahati na baada ya semina atarejea Nyumbani nchini Tanzania na Kuelekea katika Mji wa Shinyanga kufanya ufunguzi wa kanisa la Hosanna Christian center Mission lililoko Shinyanga Mjini ambalo linaongozwa na Pastor Benjamini

Kwa habari za kiroho endelea Kuwa nasi

No comments:

Post a Comment