Friday, August 19, 2011

Jamaa Huyu ni Worship Leader wa Hosanna Praise Team pia ni Mtangazaji wa Radio ya Kikisto katika Jiji la Mwanza fatilia Historia yake

Jamaa anaitwa Adolph Robert Nzwalla ni mtoto wa Kwanza katika Familia ya Bishop Robert Nzwalla yeye watoto wanne wakiume wawili na wakike wawili amezaliwa miaka 29 iliyopita.

Princilla na Gladyce ni twins na Joseph ambaye ndo kijana wa Mwisho ambaye kwa sasa yuko masomoni. Adolph Nzwalla maisha yake yamelemewa sana na Muziki na kwa sasa anacheza keyboard na ni Worship Leader katika kikundi cha Hosanna Praise and Worship team na pia kwa sasa ameingia katika maswala ya Utangazaji na ni kati ya watangazaji Bomba katika jiji la Mwanza

Huu ni Mwanzo wa story ya Brother Adolph Nzwalla a.k.a Slim Boy amezawadiwa mtoto mmoja wa kike anaitwa Precious Nancy Adolph




My Daughter Precious Nancy Adolph

Endelea kufatilia tutakujuza next week jamaa huyu anatangaza katika Radio gani katika Jiji la Mwanza

No comments:

Post a Comment