Friday, August 19, 2011

Je Unawafahamu Hawa Hapaaaaaaa???????

HIZI NI BAADHI YA KAZI ZA HOSANNA PRAISE AND WORSHIP TEAM WAKATI WA KIMWABUDU MUNGU NA KUMSIFU JEHOVA JIRE
HAPA ILIKUWA JUMAPILI YA TAREHE 14 AUG 2011 NDANI YA NYUMBANI HOTEL


MICC Praise Team wakiwa wakisubiri zamu yao ifike wapande stejini
Hosanna Praise Team wakiimba BRO Adolph Nzwalla Worship Leader akiimba My God is Gudooo

Bro Adolph Nzwalla akiimba Mataifa Yote Yatakusanyika its was so Wonderfull!!!!!

No comments:

Post a Comment