Mambo yalipopamba moto Nabii Malisa Alishuka nakuwafuata wasiojiweza Mzee akipokea moto Jamaa alitupa fimbo nakuanza kutembea Wahudumu wakimsaidia Bibi kunyanyua Imani yake na kutumbea Bibi mambo yakazidi kunoga
Kiti chake hakina kazi tena Bibi akitembe na kiti chake kiliinuliwa juu watu akimshangilia Yesu Huyu nae alinyanyua magongo yake na kushangilia uponyaji Ni km anasema "magongo sitaki tena naweza kutembea" Nabii malisa akiwekea mkono Bibi kukamilisha muujiza wake Jamaa akishuhudia Jinsi Alivyopokea muujiza Nabii akiwa amekikalia kiti hicho kwa ushindi mkubwa Jane Misso nae hakuwa nyuma katika kumtukuza Mungu katika viwanja vya furahisha
|
No comments:
Post a Comment