November 6 , 2011Jehova Yu Hai Tour Kuitikisa Mwanza
Yule Mwanamuziki wa Injili aliyeibuka na "Tour" John Lisu "The Great" tarehe 6 November, 2011 atakuwa katika Jiji la Mwanza kwa ajili ya Tamasha la Muziki wa Injili katika Ukumbi wa Gold Crest kwa kiingilio cha Shs 10,000 Tu
John Lisu na Mkewe katika Uzinduzi wa jehova yu Hai Tour Diomond Jubilee Jijini Dar-es-salaam |
John Lisu the Great akiwa na Prince Adolph Nzwalla wa Alive Fm baada ya mahojiano yaliyofanywa na King Presenter Smith Swai |
No comments:
Post a Comment