Tuesday, October 18, 2011

Monday, October 17, 2011

VCC Yazindua Campus Night Ya tarehe 11, Mwezi wa 11, Elfu mbili na 11, Campus Night 11-11-11

Jana katika Kanisa la Victory Christian Centre ali maarufu VCC lili launch rasmi Campus Night 11-11-11 yenye title ya Focus.

Campus Night ni tukio linalokusudia kukusanya Wanafunzi zaidi ya 30,000 kwa mwaka huu baada ya Campus Night ya 2009 kukusanya watu 12,000 katika uwanja wa Taifa. Campus Night ambayo hukusanya wanafunzi wa vyuo na Vijana na Kuwaweka pamoja kwa ajili ya Kumsifu Mungu na Kujifunza Neno la Mungu na Kuomba Pamoja kila Mwaka, Mwaka huu limepata Muitikio mkubwa kutoka nchi za Jirani la Ulaya.

Campus Night ya Mwaka 2011, itakauwa na Wageni kutoka South Africa, Sweden, Kenya, Uganda na Rwanda inapelekea event ya Mwaka huu kuwa na hadhi ya East Africa Campus Night.

Katika Kuhakikisha Campaign ya kutangaza Campus Night inafanikiwa Kazi nyingi za Kijamii zitafanywa kihakikisha Kampeni hii inafanikiwa, tayari Magari mbalimbali yamesha chorwa kwa ajili ya Kampeni, Tshirts mbalimbali zimeshaanza kuuzwa, Kuosha magari, kupiga Kiwi viatu na mitandio ni phase inayofuata ya Kampeni ya Campus Night 11-11-11.

Mass Choir Ikihudumu.
Umati uliokuwa umekuja kushiriki Ibada.
Dr Nkone na Dr. Kilemile Wakihudumu Jumapili.

Launching Process.








Hapa likaachiliwa sebene.
Kitu Sebene.
Crown Chavala akiwa kazini siku ya Jumapili,
Director Of Campus Ministry Prosper Mwakitalima.
Director Of Praise and Worship Mpelo Kapama.
Pastor Nkone na Pastor Joyce (Mke Wa Nkone) Waki Sebeneka.
Mc Wa Event Papaa akiwa kazini.
Baadae Ikazinduliwa Website ya VCC.
Mwanamuziki Joseph Nyuki akihudumu kwenye Launching.
Maswahiba Wawili Papaa and Prosper.
Tukienda sawa.

No comments:

Post a Comment