JOYOUS YAIBUKA NA TUZO NNE KWENYE SABC CROWN GOSPEL AWARD 2011--SA
Lindelani(kushoto) akiwa na Sylivester wakati wa recording ya Joyous Vol 15 katika ukumbi wa Icc Durban mwaka jana |
Waimbaji walioondoka na tuzo hizo pamoja na category zao ni pamoja na
Nqubeko Mbatha--Best Producer, mkewe Ntokozo Mbambo ambaye pia ni vocal trainer wa kundi hilo ameondoka tuzo ya classic of all time pamoja na kundi lililopo chini ya JC la Dominion limetoka na tuzo mbili za Best Contemporary Gospel Album and Best Music Video, huku mmoja wa viongozi wa kundi hilo Bw. Lindelani Mkhize amepata tuzo ya heshima ya Lifetime Achievement,Lindelani,Ntokozo na mumewe Nqubeko Mbatha wakiwa na tuzo zao! |
Kati ya waimbaji ambao wameshaibuka kidedea na tuzo hizo ni pamoja na Pastor Agu Uchechukwu maarufu kwa jina la Double double kutokana na wimbo wake wa My God is good, yeye alishinda tuzo mbili mwaka jana kupitia DVD yake aliyorecord nchini humo, ambapo kwasasa ni mwimbaji anayeongoza katika kundi hilo kwa kupata mialiko nje ya nchi ikiwa na wimbo wake wa My God is good ukiwa umevunja record ya kundi hilo kwa kutazamwa na watu wengi katika mtandao wa Youtube
Uche na tuzo zake |
Source: Gospel Kitaa Ya Ambwene.
No comments:
Post a Comment