Wednesday, March 21, 2012
Nqubeko Mbatha --Music Director Ajitoa Joyous Celebration
Ngubeko ndani ya JC 16 Recordings
Ngubeko Ambaye amedumu na kundi hilo kwa muda wa Miaka 11 ameamua kufuata nyayo za Mkewe kujiondoa Joyous Celebration. Wiki iliyopita Blog ili report kujiondoa kwa Mkewe Ntokozo Mbambo katika kundi hilo.
Ngubeko na Mke Wake Ntokozo
Habari za kutoka ndani ya JC zinasema kuwa Ngubeko ameamua kuunda kundi la music litakalokuwa chini Mke na Mume.
Habari hizi zimepokelewa kwa Mshtuko Mkubwa na Friends Of JC kwa sababu watu hawa wawili walikuwa mojawapo ya nguzo Kubwa za Joyous Celebration.
Ngubeko akiwa kazini.
Baadhi ya Comments.
- 3 shares
- Sharol Mosebyadi Matsekoleng you too? but yeah God keep using you guys to touch our lives. all the best20 hours ago ·
- Mercy Funeka Umzukul-kageja Wow will miss u ke kodwa, anini ama Auditions eKZN alandelayo eJoyous20 hours ago ·
- Mdu Chosengeneration Makhoba Brother the glory of the latter, shall be greater than the former. The best is yet to come. Congratulations on bolding into a new season... Enjoy the ride.20 hours ago ·
- Tebogo Olebile there is time for evrything man of God ...we are hoping for biggerthings now20 hours ago ·
- Nyakallo Gloria Glowee We are going to miss u & Sis Ntokozo, you both are the reason I loved JC! I wish you and Ntokozo all the BEST ♥20 hours ago ·
- Ntombenhle Ntombie Shobede Wow ja the time has come hey there's nothing we can do about it, u go and do ur thing and what God called u for will always be behind u supporting u where ever u are Joyous or no no Joyous I'm still ur number one fan...though will miss seeing u on Joyous stage but ja isiZulu sithi "Okungapheli kuyahlola" God bless u in ur journey mr Mbatha and ur wife too :) all the best ♥20 hours ago ·
No comments:
Post a Comment