Pastor Muyamba na New Movie ambayo inajibu Mapigo ya Marehemu Steven Kanumba ya Devil Kingdom
Filam ya Devil Kingdom iliochezwa na Marehemu Kanumba ni Filamu inayoonyesha kumtukuza Ibilisi na Mungu kuonekana awezi lolote japo mwisho wa Filamu ni sehemu ndogo sana inayoonyesha ushindi unapatikana kwa Bwana.
Kupitia Filamu hii ya "God"s Kingdom" ni Filam itakayo wafungua Macho watanzania wote kupitia mafumbo yaliokuwepo katika Filam ya Marehemu Steven Kanumba "Devil Kingdom"
Emmanuel Myamba kupitia kampuni yake wana chuo kinacho toa mafunzo mbailimbali ya filamu,ikiwemo acting,directing,editing,production management,producing nk. Lengo ni kuhakikisha wanakupa Elimu na uelewa mkubwa wa mambo ya filamu,na kupata watu wenye ufahamu bora juu ya utengenezaji wa filamu nchini Tanzania.
Pata matukio ya Picha ya Filam hii itakayo kujia nyumbani kwako Soon.
No comments:
Post a Comment