Kongamano la wachungaji na Viongozi wa kanisa lamalizika nchini Marekani
Pastors
and leaders conference ni kongamano kubwa linaloandaliwa na mtumishi wa
Mungu Askofu Thomas Jakes na kuhudhuriwa na wachungaji mbalimbali
pamoja na viongozi wa makanisa tofauti tofauti ulimwenguni.Kwa mara ya
kwanza Askofu Jakes alianzisha kongamano hilo mwaka 1995 akiwa na lengo
la kuzungumzia changamoto zinazoligusa kanisa na namna ya kuzitatua.Kwa
mwaka huu kongamano hili lilikuwa likifanyika nchini Marekani kuanzia
tarehe 3May-5may 2012.
Wanenaji wakuu katika kongamano hilo walikuwa ni
Askofu Thomas Jakes
Bishop Tudor Bismark kutoka Zimbabwe
Bishop Noel Jones
Bishop Td Jakes akifanya maombezi katika kongamano hilo
|
Bishop Noel Jones akizungumza siku ya pili ya kongamano hilo
|
Sarah Jakes mtoto wa Td Jakes akifanya interview na mmoja wa wanasemina wa Kongamano hilo
|
Watumishi wakiwa uweponi
|
No comments:
Post a Comment