Siku ya Ijumaa katika Kanisa la CCC
Upanga hakika Mungu alionekana kupitia Mkesha mkubwa uliowakusanya watu
mbalimbali katika kona la jiji la Dar es salaam.
Watu
waliofika katika Mkesha huwo walisema umekuwa nimkesha watofauti na
mkesha wa mwaka jana Dimond Jubili,kwani kuanzi maandalizi ya Mziki
mpaka Praise Team walijipanga vizuri.Nae Pastor Abel mlezi wa Aflewo alisema yupo mpendwa ameguswa na Praise Team ivyo yupo tayari kuwapeleka Zanzibar wakati utakapo fika.
Jione Matukio ya Picha kwa hisani ya Sam sasli.
Let God arise.
Maelfu ya watu waliofurika katika Mkesha wa Aflewo
Mass Kwaya.
Wajumbe wa kamati ya Maandalizi ya Aflewo.
Pastor Safari akisema jambo usiku wa Aflewo.
Vijana wa Masauti The Voice walikuwepo.
Uso wa Mungu ukitafutwa.
No comments:
Post a Comment