Breaking News ...Muimbaji wa Nyimbo Za Injili, Watangazaji wa Redio Wapata Ajali
Jana usiku around saa 5 nilipokea simu kuwa mojawapo ya magari waliyokuwa wakitumia Watangazaji na Wanamuziki wa Injili wa Glorious band waliokuwa wakitoka morogoro kwenye huduma imepata ajali katika Mkoa wa Pwani na usiku huo walikuwa wamekimbizwa katika hospitali ya Tumbi.
Alfajiri ya Leo Erick Brighton na Thomas walikimbizwa katika hospitali ya Muhimbili, Erick Bryton amekwisha ruhusiwa yupo nyumbani na amefungwa "POP"
Erick Bryton Mtangazaji wa Praise Power aliyevunjika Miguu yote miwili.
Hudson Kamoga mtangazaji wa Praise Power ameruhusiwa kwenda nyumbani, Thomas wapili kutoka kuli bado yupo Muhimbili.
Silas Mbise Mtangazaji wa WAPO Redio alipata michubuko kwenye mikono, ameruhusiwa yupo nyumbani.
Tunamwomba Mungu awasaidie katika kipindi hiki.
Blog Imedaka habari Kamili Mchana wa Le0.
Thom akiwa Hospital ya Tumbi
Thomas akiwa katika hali mbaya
Sifa Zivume Inawapa pole wale wote waliopatwa na Ajali hiyo!
No comments:
Post a Comment