Friday, August 19, 2011

Kwa Makanisa ya Mwanza hii Inapata Kibali kweli??????Vijana kupart wakiwa na Mitume cheki Apostle Ndegi na Vijana wake uwe Mfano wa Kuigwa

HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA Restoration Bash Ndani ya Ndege Beach

Tarehe 8/8/2011 utambulika kama sikuku ya Nane nane ambapo Makanisa hapa Tanzania ujipa hofu,Lakini hii haikuwa kwa Kanisa la Living Water Makuti kawe.Apostle Onesimo Ndegi aliandaa Restoration Bash ndani ya Ndege Beach ili kuwapa nafasi washirika na watu mbalimbali kuwa na nafasi ya Michezo kama sehemu ya Maisha yetu.
Vuta nikuvute mchezo wa Kamba
Mtangazaji wa Praise Power Radio Hadson Kamoga akiongoza Mchezo wa Kamba.
Watu wakifurai pamoja
Nifuraha kwa kwenda Mbele
Apostle Onesmo Ndegi akiongea na Vijana.
Si mchezoo
Vijana wa Ndegi Living water worship Team wakitoa Burudani
Emanuel alimaarufu Masanja Mkandamizaji alikuwepo
Mamboo
Apostle Onesmo Ndegi,Mkewe Lilian Ndegi pamoja na Pastor carlos wakipata Chakula
Mambo ya Ubweche ayakukosa

No comments:

Post a Comment