Friday, October 7, 2011

Haya Yalijiri Mwezi Uliopita katika Viwanja vya Furahisha

Nabii B.G Malisa Afanya Mambo Makubwa Ndani Ya Viwanja Vya

Furahisha Jijini Mwanza

Mambo yalipopamba moto Nabii Malisa Alishuka nakuwafuata wasiojiweza
Mzee akipokea moto
Jamaa alitupa fimbo nakuanza kutembea
Wahudumu wakimsaidia Bibi kunyanyua Imani yake na kutumbea
Bibi mambo yakazidi kunoga

Kiti chake hakina kazi tena
Bibi akitembe na kiti chake kiliinuliwa juu watu akimshangilia Yesu
Huyu nae alinyanyua magongo yake na kushangilia uponyaji
Ni km anasema "magongo sitaki tena naweza kutembea"
Nabii malisa akiwekea mkono Bibi kukamilisha muujiza wake
Jamaa akishuhudia Jinsi Alivyopokea muujiza
Nabii akiwa amekikalia kiti hicho kwa ushindi mkubwa
Jane Misso nae hakuwa nyuma katika kumtukuza Mungu katika viwanja vya furahisha
Wamama hawa waliokuja kutoa shuhuda baada ya kuakaa kwa muda mrefu bila kupata watoto lakini baada ya kuombewa na Nabii sasa wana watoto na wengine wamepata watoto mapacha.

Mke wa Nabii mwenye pochi kwenye miguu akiwan na watumishi wengine wakifuatilia kwa makini wakati Nabii akiendelea kuhubiri na kuombea watu.

Nabii akiimba wimbo wa kuabudu kabla yakuanza mahubiri


Nabii akiomba kabla ya kuhubiri siku ya kwanza ya mkutano

Nabii Malisa akiwa jukwaani
Hapa Nabii aliamua kushuka kuwafuata watu waliokuwa na matatizo mahali walipo.

Nabii akimfanyia maombezi mwanamke huyu aliyefilisika baada ya nyota yake kuibiwa na kampuni yake kufa kabisa.

Wakati wa maombezi wenye mapepo walifungulkiwa kama unavyowaona

Nabii Malisa akifanya Maombezi

Huyu nae alikuja kwa ajili ya Maombezi

Nabii akiendelea na maombezi ya kufungua na kurddisha nyota

Alikuwa hawezi kutembea bila fimbo ila baada ya maombezi aliweza kutembea bila fimbo.

Mtoto akinyweshwa maji ya upako

Baada ya akunywa maji aliweza hata kusimama

Nabii akiyaombea maji

No comments:

Post a Comment