Wednesday, November 23, 2011

Africa Lets Worship...AFLEWO....In Mombasa

Majuma Machache yaliyopita ule Usiku wa "Africa Lets Worship" AFLEWO ulifanyika katika Mji wa Mombasa, Kenya.

Aflewo ilifanyika Tanzania Mwanzoni Mwa mwaka huu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kama ilivyokuwa Tanzania Uwepo Wa Bwana Ulifunika Mji wa Mombasa kwa Kuwafungua watu mbalimbali katika vifungo.

Ijumaa hii Mji wa Kigari Rwanda ni zamu yake Bwana kuutembelea kwa wingu la AFLEWO.

Stay Tune with na Blog itakujuza mengi kutoka Kigari Rwanda.

Mungu akiwatembelea Watu Katika Usiku wa AFLEWO katika Mji wa Mombasa
Mass Choir ya Mombasa ambayo ilihudumu wiki Diamond hapa wakiwa kazini katika Madhabahu ya Mombasa.
The Anointed Man with The Anointing "JK" John Kagaruki akiupuliza Pembe kwenye Usiku wa AFLEWO Mombasa.
The Great JK akizungumza katika Usiku wa Aflewo Nchini Kenya
Mass Choir Ikihudumu katika Usikuwa Wa Aflewo,
Ushers wakiwa Tayari kuhudumu katika Usiku wa AFLEWO
The Great JK akihudumu na Mass Choir ya Mombasa




JK akiwa anapuliza The Anointed Pembe huku Andrew wa Mombasa Praise Team akimshikia Microphone.



A Stage, Decoration and Stage Set Up.

No comments:

Post a Comment