Uwanja wa Ndege wa Mwanza wageuka Jaruba la Mpunga
![]() |
Hali halisi....hatoki mtu...!! |
![]() |
kwasababu za kiusalama hakuna ndege iliyoruhusiwa kutoka au kuingia Air port Mwanza. |

![]() |
Pichani ni kama ndege iliyogota katikati ya shamba la mpunga kumbe laaa!! ni ndege iliyo katika eneo stahiki la maegesho ya ndege. |
![]() |
Wafanyakazi mbalimbali kiwanjani hapo wakishughulika kusafisha njia za ndege mara baada ya magugu na tope jingi kutanda eneo hilo. |
![]() |
Kikazi zaidi...kama shambani vile. |
![]() |
Hawa ndege sijui walitoka wapi!!! Naskia ni hatari sana kwa ndege ndogo za abiria. |
![]() |
Chekshia ngazi za ndege.... |
![]() |
Wafanyakazi wa idara tofauti kiwanjani hapo wakihaha kuzima swichi za umeme kiwanjani hapo mara baada ya kina cha maji kuanza kupanda taratibu kikitishia usalama. |
![]() |
Wafanyakazi sekta ya mizigo walifanya kazi ya ziada kunusuru mizigo ilokuwa tayari imepakiwa kitengo cha mizigo isilowe. |
![]() |
Mara baada ya maji kupungua unaweza kuona jinsi miundo mbinu hasa njia za ndege ilivyoathirika. |
![]() |
Pata picha kama ndege zingeruhusiwa kuondoka au kutua wakati wa mafuriko ile hali tayari njia zandege zishaharibika......!!!!!???!!. |
![]() |
Hapa unaambiwa ni hali imetulia kwa Ofisi zetu kiwanjani |
No comments:
Post a Comment