Saturday, May 12, 2012

                    Gospel Hip Hop together we can do wonders.

Mwanaharakati wa Gospel Hip Hop na Mtangazaji wa Praise Power Fm Douglas Pius a.k.a Dp nimoja kati ya watu walio dhamiria kukuza muziki wa Gospel Hip Hop.Harakati za Dp zimekuwa za Baraka kwani mziki uliokuwa unaonekana kama wakihuni sasa umesha anza kueleweka vizuri kwa jamii yetu ya Kikristo.

Gospel Hip Hop nimatamasha yanayo andaliwa na Dp Douglas Pius katika kufikisha ujumbe kwanjia ya Mashairi ya kugani.Matamasha haya si mara ya kwanza kufanyika,kwa sasa ni mara ya 12 yakiwa yamesha fanyika Tabata Segerea,Mbezi Beach africana,Mabibo,Tegeta na Gongolamboto.

Wiki hii siku ya J/pili ya Tarehe 20/5/2012 Gospel Hip Hop itafanyika katika kanisa la Calvary Kinondoni B Mtaa wa Igumba karibu na Mahakama kwa Bishop Samwel Moma.Katika Tamasha hili utapata flevor mbalimbali Zouk,Rumba,Kwaito na Sebene kutoka kwa waimbaji mbalimbali.
Tamsha hili litaanza Saa nane Mchana hadi Saa kumi na mbili jioni.Kiingilio bure,Waimbaji watakao pamba Gosple Hip Hop 1}Bashando 2}Bishop Nico 3}Rungu la Yesu 4}Pgn Band 5}Douglas Pius Dp 6}Unity Family 7}Inocent Agustino 8}Peter Banzi 9}Makondeko na Mase.

Kitu Hip Hop bwanaa


Douglas Pius a.k.a Dp.
Peter Banzi akiwa na AY kabla ajampokea Bwana Yesu.
Peter Banzi
Bishop nicodemus Shaboka Jr.
Martin Bashando.

No comments:

Post a Comment