Saturday, May 12, 2012

MCHUNGAJI,MC NA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM/CLOUDS TV HARRIS KAPIGA SOON NDANI YA ITV.

Mtangazaji wa Clouds Fm na Clouds Tv Harris Kapiga mwishoni mwa mwezi wa Tano atakuwa anatangaza kipindi kipya cha Watoto kinacho julikana {Whitedent Squiz 2012} katika kituo cha ITV

Harris kapiga amesema kuwa kipindi hiki nimahususi kwajili ya Watoto ivyo yeye ni Master quiz na Presenter.Kwa sasa Harris Kapiga anafanya kipindi cha Gt na Temino vya Clouds Fm pia anasoma Habari Clouds TV

Master quiz Harris Kapiga.








No comments:

Post a Comment