Wednesday, May 16, 2012

Pastor Muyamba na New Movie ambayo inajibu Mapigo ya Marehemu Steven  Kanumba ya Devil Kingdom

Pastor Emmanuel Myamba ni mwingizaji alie jipatia umaharufu kwa staili yake yakufikisha ujumbe kwa njia yakuigiza kama Mchungaji.Kupitia Kampuni yake ya Tanzania Film Training Center wapo kambini kujibu filam iliyokuwa na Maneno mengi kwa Marehemu Steven Kanumba {Devil Kingdom}

Filam ya Devil Kingdom iliochezwa na Marehemu Kanumba ni Filamu inayoonyesha kumtukuza Ibilisi na Mungu kuonekana awezi lolote japo mwisho wa Filamu ni sehemu ndogo sana inayoonyesha ushindi unapatikana kwa Bwana.

Kupitia Filamu hii ya "God"s Kingdom" ni Filam itakayo wafungua Macho watanzania wote kupitia mafumbo yaliokuwepo katika Filam ya Marehemu Steven Kanumba "Devil Kingdom"

Emmanuel Myamba kupitia kampuni yake wana chuo kinacho toa mafunzo mbailimbali ya filamu,ikiwemo acting,directing,editing,production management,producing nk. Lengo ni kuhakikisha wanakupa Elimu na uelewa mkubwa wa mambo ya filamu,na kupata watu wenye ufahamu bora juu ya utengenezaji wa filamu nchini Tanzania.

Pata matukio ya Picha ya Filam hii itakayo kujia nyumbani kwako Soon.

Pacho Mwamba M wamba,Miriam Shemzingwa ambaye ni {PM} na Emmanuel Myamba Director wa God"s Kingdom.
On Set.









Joyce Haule na Mzee Jengua wakijiandaa kuingia kazini.








Pacho Mwamba,Meya na Mogan.Hawa ni Aki na Ukwa wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment