Wednesday, November 23, 2011

Ajali Mbaya yatokea Jijini Dar-es-Salaam

Prosper Mwakitalima akiwa katika Hospitali ya Amana mara baada ya kupata ajali eneo la River side Ubungo Jijini Dar-es-salaam

Kwa Taarifa Tulizozipata hivi punde Prosper ameumia Mikononi na Usoni Twalituma Neno liendelee kumponya Haraka

No comments:

Post a Comment